Habarini wadau,
Nimewakumbuka sana.
Anyways, kuna nafasi ya kazi na anahitajika Graphic designer and social media expert.
Vigezo :
1. Awe mwanamke
2. Asiwe na majukumu ya kifamilia
3. Muaminifu na asie muongomuongo
4. Awe tayari kujifunza new skills
5. Ajue kuzungumza kiingereza, akijua lugha...