graphics

  1. Mnyilinga Digital ( pata offer kubwa ) kutoka kwetu

    Mnyilinga Digital tunakupa Huduma Bora za Graphic Design kwa Ajili ya Kukuza Biashara na brand Yako! Bland Umechoka na muonekano wa kawaida wa biashara yako mtandaoni? Unahitaji huduma za graphic design zitakazokufanya ujitofautishe na kushindana kwa urahisi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi uko...
  2. Mnyilinga Digital (MD) New Logo

    Mnyilinga digital logo (MD) new 2025 designed by Mnyilinga graphics. Mnyilinga Digital tunatambulisha logo yetu mpya 2025 Wana jamii forums kama unataka logo kali wasiliana na +255 741 502 775
  3. GTA VI itakua balaa! Hizi Graphics sio poa!

    Nadhani muda wa kuwekeza kununua PS5 umefika. Huyu Lucia atakua my fav character.
  4. J

    Je, kati ya kozi ya Graphics photograph videograph na umeme ipi n bora?

    Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri. Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda kufanya ananiambia anapenda computer na umeme na anatamani awe mtu anaefanya kazi za graphics...
  5. B

    Mimi ni videographer, photographer na graphics designer

    Habari zenu wakuu.. Embu tusaidiane kupeana connection. Mm nipo dar mbagala. Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater. Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5. Km Kuna taasisi kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huo nipo hapa. Program...
  6. Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  7. R

    Tangazo la Kazi: Graphics Designer & Motion Artist

    Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti. Majukumu: 1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...
  8. Mtaalamu wa matangazo, graphics, branding & social media management

    Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management. Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti! Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
  9. D

    Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

    the new young Africans graphic designer should be fired. what is this design?? nani ana ajili hawa watu??? angalia graphics zake. big brand what Is this??
  10. B

    Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

    📷📷
  11. B

    Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
  12. Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
  13. R

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video na Mbunifu wa Michoro (Video content creator and graphics designer)

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator) Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu. Majukumu: 1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii. 2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho. 3. Kushirikiana na timu ya masoko...
  14. Nafasi ya Kazi ya Msanifu Grafiki (2) JamiiForums June, 2024

    Position: Graphics Designer (2) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good governance. One...
  15. S

    Kwa anayehitaji mtaalam wa mitandao ya kijamii na graphics

    Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen ya biashara na kupata vibali mbalimbali serikalin kama vile TBS, OSHA nk.
  16. Computer4Sale Lenovo Laptop G50-70,450000 nzuri kwa Graphics

    - LENOVO G50-70, CALL 0786570530 SPECIFICATION -Laptop Clamshell Black Intel® Core™ i7 i7-4500U 1.8 GHz 39.6 cm (15.6") HD 1366 x 768 pixels LED backlight Gloss 16:9 4 GB DDR3-SDRAM 1600 MHz 1 x 4 GB 500 GB Hybrid-HDD DVD Super Multi DL AMD Radeon R5 M230 2 GB Intel® HD Graphics 4400 Ethernet...
  17. Nafanya Graphics Designing and Video Editing karibu!

    Karibu Tunahusika na utengenezaji wa *Mabango *vipeperushi *kadi za namba za simu *Makava ya nyimbo *Kadi za mialiko za kisasa Njoo whatsapp Nehemix tz
  18. Nahitaji Graphics card

    Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
  19. Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

     Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya -Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc. -Sticker(Car)...
  20. Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…