Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi

 
Mwanafunzi aliyemaliza form four shule ya serikali atajua advanced excel kwenye maeneo yafuatayo;-
  • data manipulation
  • advanced calculations
  • creating dynamic reports
  • automating tasks
  • handling large datasets.
 
Back
Top Bottom