Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...