Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained
Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu takribani 83 waliopitia matukio haya ya utekaji, amewataja Mzee Soka, Mdude Nyangali, wanaharakati wa Kenya na Uganda na wengine wengi akijenga hoja kuwa kuendelea kunyamaza Katika Hali hii hauwezi kujua atayefuata kutekwa ni nani, hivyo Bora kusema na kushauri Ili mambo yatatuliwe.
"Utekaji si utamaduni wetu wa kitanzania na ni jambo ambalo halitakiwi kuvumiliwa na mtu yeyote, nitoe mfano mimi natokea jimbo la Kawe kuna huyu bwana anaitwa Ali Kibao alikuja akashushwa kwenye gari watu wanaona, abiria wote wanaona halafu kesho yake akapatikana amekufa"
"Nataka nimuulize mtu yeyote kama baba yako akishushwa mbele yako wewe mwenyewe halafu kesho yake akapatikana amekufa utajisikiaje? lakini siyo huyo tu, tumeona juzi juzi kule Mbeya mtu anaitwa Mdude"
"Watu wamekuja nyumbani kwake wamevunja mlango wamemchukua akiwa hai mbele ya familia yake wameondoka nae na mpaka leo hatujui yuko wapi na hatujui nani sasa anaefuata unaweza ukanyamaza kumbe unafuata wewe"
"Juzi juzi hapa tena mwanaharakati wa Uganda anaitwa Agather Atuhaire amekuja hapa amehudhuria mahakamani huyo mtu amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama watu wa vyombo nimeona anaongea kwenye Youtube"
"Kwa uchungu kabisa kwamba wakaenda mahali akavuliwa nguo akafanyiwa udhalilishaji na akaenda kutupwa mpakani, sasa hebu tujaribu kuwaza kama angekuwa ni mama yako mzazi anachukuliwa anavuliwa nguo anadhalilishwa anatupwa mahali ungejisikiaje au kama angekuwa ni dada yako kabisa wa tumbo moja"
Fuatilia Mijadala zaidi ya Askofu Josephat Gwajima

- GE2025 - Askofu Gwajima: Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 iangalie namna ya kumuachilia Lissu
- GE2025 - Askofu Josephat Gwajima: Nashauri tena, tusiingie kwenye uchaguzi pasipo kufanya minimal electoral reforms
- GE2025 - Askofu Gwajima: Naombeni ndani ya siku 10 fungueni Makanisa ya Ufufuo na Uzima, msipofungulia nitasema neno ambalo watu watastaajabu!
- PreGE2025 - Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!
- Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
- Askofu Gwajima: Kuhusu utekaji simuogopi mtu, hata wafunge kanisa miaka 100
- Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms
- GE2025 - Askofu Gwajima: CCM tujiulize kwa familia za watu walitekwa, Lissu yupo gerezani, je tutapigiwa kura?
- GE2025 - Askofu Gwajima Aonya na Kutoa Ushauri, Kufanyike Nini Haraka Kabla Ya Uchaguzi
- GE2025 - Askofu Gwajima: Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani haileti picha nzuri
- Askofu Gwajima: Kiongozi ambaye asikilizi wananchi, uongozi wake unakuwa hautokani na wananchi
- GE2025 - Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?
- Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida
- GE2025 - Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?
- Askofu Gwajima: Wananchi kushangilia Kifo cha Ndugai ni dalili mbaya, nchi yetu haiko pazuri
- Askofu Gwajima: Kama aliyoyasema Polepole ni ya kweli basi na mpongeza kwa ujasiri wake
- Askofu Gwajima: Chawa Silaha yao ni kujipendekeza, mwenye uwezo anabebwa na uwezo wake
- Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote
- Askofu Gwajima: Ni muhimu vyombo vya dola kujitegemea, ambao awawezi kuondolewa na mwenyekiti wa chama na rais
- GE2025 - Askofu Gwajima: Kikwete wewe una sehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya. Mungu akutumie kuweka nchi katika reli
- GE2025 - Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania
- Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda
- GE2025 - Askofu Gwajima: Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo
- Askofu Gwajima: Watekaji wana nguvu kuliko vyombo vya dola
- GE2025 - Askofu Gwajima: Naendelea kukataa utekaji, na kauli zinazotoka ni nyepeusi ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu
- PostGE2025 - Video: Askofu Gwajima akicheza kwa furaha Kanisani kwake baada ya kurejea Madhabahuni
- PostGE2025 - Askofu Gwajima: Ilibidi Maaaskofu wetu wakimbie nchi kuokoa uhai wao
- Askofu Gwajima: Nilipokea ujumbe wakunitaka nisije! Nitakuwepo kila Jumapili
- Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!