PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Uongo wa Gwajima ni upi labda mtueleweshe mana watanzania hatuelewi?
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Sijajua unataka kuwasilisha nini

Ila sidhan ikiwa Gwajima alisema hayo ili ashangiliwe

Kama ni kushangiliwa mbona anashingiliwa na kila mtu kanisani kwake😂😂

Tuchambue hoja, ikiwa alikosea kuyasema hayo tuseme ni wapi, ikiwa alipatia tuseme kivipi na kushauri cha kufanya. Sio kuleta hoja za kizembe hiz za kushangiliwa tunadhalilisha taifa letu na inaonekana ni taifa la wajinga. Yawezekana mleta mada ni msomi mzuri wa chuo kikuu anaibua hoja dhaifu kama hii.
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Punguza uchawa ndoo utamuelewa gwajma
 
Yule senator wa Kenya yuko sahihi kabisa

Ova
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Gwajima anakutesa ukiwa wapi?
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo wengi wao hawachezi kuchakata fikra chanya na hasi

Kunyamaza siyo amani ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa


Silence surrenders public responsibilities
 
Ambao hawakumshangilia ni CCM na baadhi ya Chawa wake tu kwa kweli!
Lakini waliopotelewa na kuuliwa ndugu zao katika hili sakata la kuteka,kupoteza na kuua kwa mikono ya serikali iliyojaa damu za watu wasio na hatia wamefurahi na angalau wanaanza kuwa na matumaini unyama huu utakomeshwa.
DAMU ZAO ,ZITATAKWA JUU YA VICHWA VYENU!
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Ulaghai wa Gwajima ni upi? Why TCRA waondoe video zote za Gwajiboy akieleza utekaji? Ila video za kumdhalilisha ziendelee kuwepo? Sisi ni Wapumbavu mnooooo
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Wasio na uwezo wa kifikra ndio hawakufurahia sababu ya uchawa . Asiye na uwezo huwaza kujipendekeza na kuchongea chongea kujipendekeza...sisi wenye akili gwajima kaongea very sense ambavyo wengi kwa uwoga tunaongea pembeni pembeni....sio siri matendo yake ya kuua ua watanganyika yamezidi kipimo
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Subiri itokee ndugu yako wa karibu kabisa atekwe alafu atobolewe macho au wewe mwenyewe ndio utamuelewa alichosema Gwajima.
 
Ni kweli sio kila mtu kamshangilia ila waliomshangilia ni karibu 95%
We si ni tapeli km yeye, tuambie hizo data ulivyozipata au unafikiri ni zile hadithi zako za kufikirika kuhusu uchawi, upuuzwe maana unajulikana kwa uwongo
 
Back
Top Bottom