Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Dooh! Huyu jamaa shida sana. Hivi waumini wake hawaoni kuwa askofu wao anawapotezea muda?
Nashangaa kwa nini serikali inaendelea kuhifadhi siri zake, izimwage tu wananchi wamjue Gwajiboy halisi na hizi kelele zifike mwisho.Dooh! Huyu jamaa shida sana. Hivi waumini wake hawaoni kuwa askofu wao anawapotezea muda?
Kwani kule Uganda waumini wa Kibwetere walijua kuwa siku angewachoma moto?Dooh! Huyu jamaa shida sana. Hivi waumini wake hawaoni kuwa askofu wao anawapotezea muda?
Mimi nikajua una ushahidi wa sauti?ngoja nikupime akili yako,je unasemaje kuhusu utekaje?Mitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.
Katika sauti hiyo, Gwajiboy anasikika akimpigisha shoti mstaafu JK kwa Mzee JPM: “Nasikia hawataki kukupa uenyekiti wa CCM. Kama hawakupi uenyekiti wala wewe usigombane nao, na wewe ondoa kinga ya urais ili akimaliza madaraka yake ashitakiwe tuone.
“Hapo ndipo tutajua kuwa UDA na mradi wa Mwendokasi ni wa nani, yale makontena yaliyopitishwa bandarini ni ya nani, tutaona NIDA ni ya nani.”
Baadaye, Dk. Magufuli alitoa ufafanuzi kwa kusema kuwa ni yeye ndiye alikuwa anamkatalia Kikwete, alipotaka kumkabidhi uenyekiti wa CCM.
Unapoitazama kauli hiyo kwa jicho la ndani, inatoa taswira kuwa Gwajiboy alikuwa akichochea mgongano wa viongozi kwa maslahi binafsi.
Unafiki wa Gwajima, Magufuli aliujua mapema zaidi.
Laiti angalikuwa hai leo, huenda tayari angeshamtumbua na kumshughulikia.
Wataokotaokota kila kitu kujitetea lakini bila kujibu hoja za Gwajima wanazidi kuonekana vibaka tu.Bado hujasema!
Sasa hivi habari ya mjini ni ya utekaji, ubakaji na uuaji.Mitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.
Katika sauti hiyo, Gwajiboy anasikika akimpigisha shoti mstaafu JK kwa Mzee JPM: “Nasikia hawataki kukupa uenyekiti wa CCM. Kama hawakupi uenyekiti wala wewe usigombane nao, na wewe ondoa kinga ya urais ili akimaliza madaraka yake ashitakiwe tuone.
“Hapo ndipo tutajua kuwa UDA na mradi wa Mwendokasi ni wa nani, yale makontena yaliyopitishwa bandarini ni ya nani, tutaona NIDA ni ya nani.”
Baadaye, Dk. Magufuli alitoa ufafanuzi kwa kusema kuwa ni yeye ndiye alikuwa anamkatalia Kikwete, alipotaka kumkabidhi uenyekiti wa CCM.
Unapoitazama kauli hiyo kwa jicho la ndani, inatoa taswira kuwa Gwajiboy alikuwa akichochea mgongano wa viongozi kwa maslahi binafsi.
Unafiki wa Gwajima, Magufuli aliujua mapema zaidi.
Laiti angalikuwa hai leo, huenda tayari angeshamtumbua na kumshughulikia.
Bila shaka na wewe ni kada kama Gwajima, ni suala la muda tu.Mitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.
Katika sauti hiyo, Gwajiboy anasikika akimpigisha shoti mstaafu JK kwa Mzee JPM: “Nasikia hawataki kukupa uenyekiti wa CCM. Kama hawakupi uenyekiti wala wewe usigombane nao, na wewe ondoa kinga ya urais ili akimaliza madaraka yake ashitakiwe tuone.
“Hapo ndipo tutajua kuwa UDA na mradi wa Mwendokasi ni wa nani, yale makontena yaliyopitishwa bandarini ni ya nani, tutaona NIDA ni ya nani.”
Baadaye, Dk. Magufuli alitoa ufafanuzi kwa kusema kuwa ni yeye ndiye alikuwa anamkatalia Kikwete, alipotaka kumkabidhi uenyekiti wa CCM.
Unapoitazama kauli hiyo kwa jicho la ndani, inatoa taswira kuwa Gwajiboy alikuwa akichochea mgongano wa viongozi kwa maslahi binafsi.
Unafiki wa Gwajima, Magufuli aliujua mapema zaidi.
Laiti angalikuwa hai leo, huenda tayari angeshamtumbua na kumshughulikia.
‘chura kiziwi’ doesn’t get what the fuss is all about.Sasa hivi habari ya mjini ni ya utekaji, ubakaji na uuaji.
Scandal za Gwajima tunazijua mpaka za mkono wa baunsa ila hoja si Gwajima.
Hoja ni Bi Chura Kiziwi ameamua kuwakumbatia watekaji, wabakaji na wauaji. Hata hawajemei, ndiyo kwanza anawaambia waongeze mwendo.
Gwajima kasimamia hoja hiyo ya kupinga utekaji, ubakaji na uuaji na Watanzania wengi wamemuelewa wanasema mapungufu yote ya Gwajima hayatazamwi kwa sababu watu wanaangalia hoja kubwa zaidi ya usalama wa Watanzania.
Msitake kututoa kwenye reli kuhusiana na mada hii jubwa kwa kutaka ku focus kwenye mapungufu ya Gwajima.
Gwajima hajasema yeye ni perfect.
Amesimamia kupinga utekaji, ubakaji na uuaji.
Kama ni kweli unachosema basi gwajima alikua sahihi kabisa tens sana tu. Angemuondolea kinga tu mpaka Leo magu angekua yupoMitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.
Katika sauti hiyo, Gwajiboy anasikika akimpigisha shoti mstaafu JK kwa Mzee JPM: “Nasikia hawataki kukupa uenyekiti wa CCM. Kama hawakupi uenyekiti wala wewe usigombane nao, na wewe ondoa kinga ya urais ili akimaliza madaraka yake ashitakiwe tuone.
“Hapo ndipo tutajua kuwa UDA na mradi wa Mwendokasi ni wa nani, yale makontena yaliyopitishwa bandarini ni ya nani, tutaona NIDA ni ya nani.”
Baadaye, Dk. Magufuli alitoa ufafanuzi kwa kusema kuwa ni yeye ndiye alikuwa anamkatalia Kikwete, alipotaka kumkabidhi uenyekiti wa CCM.
Unapoitazama kauli hiyo kwa jicho la ndani, inatoa taswira kuwa Gwajiboy alikuwa akichochea mgongano wa viongozi kwa maslahi binafsi.
Unafiki wa Gwajima, Magufuli aliujua mapema zaidi.
Laiti angalikuwa hai leo, huenda tayari angeshamtumbua na kumshughulikia.
M dude? Yule hata shetani asingepanda kuwa raia wake‘chura kiziwi’ doesn’t get what the fuss is all about.
Gwajima ni speaker tu, hata huko kwenye vyombo vya ulinzi wamechoshwa kukosa majibu ya mauaji ya hovyo.
Ni hivi kuwasananua.
Nyuma ya Gwajima kuna senior civil servants (ambao hata yeye hawajui).
Kuna walinzi wa nchi waneshaelewa katiba, sheria, madaraka ya raisi ni pingamizi la majukumu yao.
Hakuna chombo cha ulinzi timamu kinaweza chukua uhai wa mtu kama ‘Mdude CDM’ hawa watu wana killing appetite kutokana na funds wanazopewa.
Hizi unnecessary killings ni justification ya hela za kazi wanazoomba.
Gwajima ni shujaa tu wa mambo ambayo watanzania wengi kwa sasa ambao tunadhani it’s enough.
Kuchukua uhai wa mtu kama ‘Mdude CDM’ ni justification tu ya matumizi mabaya ya kulinda uraisi wa Samia (hata kama yeye mwenyewe hajaidhinisha).
Shida sio Gwajima, yeye ni speaker tu; uhalisia vyombo vya ulinzi na usalama vimechoka kupakaziwa hizi senseless.
Yaani ukachukue maisha ya Mdude CDM kwa faida gani zaidi ya kudharau maisha.
Enough, Gwajima anasemea vitu ambavyo vinatukera wengi.
Life is precious
Life is precious.M dude? Yule hata shetani asingepanda kuwa raia wake
Mitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.