hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  2. chiembe

    Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  3. chiembe

    Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

    Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
  4. tang'ana

    Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Wakuu, Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma! Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya. Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
  5. Bushmamy

    Uwanja wa ndege Kisongo jijini Arusha hauna hadhi

    Uwanja mdogo wa ndege kisongo ambao mara nyingi hutumika na watalii wanaokodi ndege ndogo kwenda kutalii katika hifadhi za taifa na sehemu za serengeti, ngorongoro na sehemu nyingine zenye vivutio vya utalii, hauna kabisa hadhi ya kuitwa uwanja wa ndege kwa maisha ya kileo. Maana muonekano ni...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  7. Gang Chomba

    Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

    Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka. Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
  8. I wish i have

    Tuna hadhi na uchumi wa kati?

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia. Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna...
  9. Jesusie

    Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  10. DolphinT

    Serikali irudishe hadhi ya shule za Umma

    Kuanzia kipindi cha mwaka 2010 mpaka hivi sasa tumeshuhudia juhudi za makusudi zikifanywa na serikali katika kuhakikisha kuwa sekta ya elimu licha ya kukua pia inatoa huduma bora kwa wahusika. Miongoni mwa juhudi hizo ni pamoja na mpango wa ujenzi wa maabara katika kila shule ulioasisiwa na...
  11. M

    Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

    Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni. Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
  12. L

    Marekani yajishushia hadhi kwa kutoa “Ripoti ya Biashara ya Magendo ya Watu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
  13. Pascal Mayalla

    Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  14. msovero

    Askofu Gwajima na Jerry Silaa waitwa kwenye Kamati ya Bunge kujieleza kwa kusema uongo na kushusha hadhi ya Bunge

    Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
  15. S

    Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

    Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka. Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza hadhi na heshima zao Ikawa ni kawa ni kawaida kusikia waziri katukanwa "pumbavu" hadharani. Ikawa...
  16. T

    Itapendeza zaidi kuomba radhi, kulinda hadhi ya kuendelea kuitwa mama

    Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka. 1. Utachukiwa kuliko hata JPM 2. Utapoteza heshima ya kuitwa mama 3. Utazalisha akina Sabaya na Makonda wengi kuliko JPM 4. Unaweza kuwa Rais wa...
  17. sky soldier

    Je, wajua? Si Cadillac tu, hata Bugatti, Ferrari na Lamborghini nazo ni Uber Marekani

    Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani. Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
  18. P

    Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru. Hili...
  19. LIKUD

    Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

    Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo. Baadhi ya majina hayo ni pamoja na: 1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa...
Back
Top Bottom