hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  2. sky soldier

    Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  3. Stephano Mgendanyi

    TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  4. chiembe

    Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
  5. L

    Je, Marekani inaogopa nini kwa kuhujumu mara kwa mara hadhi ya China kama nchi inayoendelea?

    Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
  6. John Gregory

    Clouds Tv imekosa studio yenye hadhi kipindi cha Sports Bar?

    Habari wakuu, Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata? Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani...
  7. Protector

    MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

    Nikiwa raia na mwananchi wa kawaida mpenda maendeleo, naandika barua hii kwa ajili ya mkoa wa Mwanza, ningependa sana kama Raisi wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassani ukapata ujumbe huu. Basi hata kama kuna watu wapo karibu naye na wakasoma ujumbe huu basi wamfikishie. Au kama atabahatika...
  8. KONK MASTER

    DOKEZO Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa na wingi wa watu lakin Barabara ya Kenyatta ni mbovu na haina hadhi kabisa

    Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
  9. Etugrul Bey

    Ndoa humpa hadhi na heshima mwanadamu

    Kumekuwa na Maandiko kadhaa na mijadala kadhaaa kuhusiana na umuhimu wa ndoa na wengine wakisimamia katika kampeni Yao ya Kataa ndoa,ndoa ni utapeli na kadhalika. ETUGRUL BEY nae ameona achangie kidogo katika Jambo hili, nianze Kwa kusema Kwanza wale ambao wanakataa ndoa hawakatai Bila...
  10. K

    Kampuni ya Bakhresa inajishusha hadhi

    Kweli Kampuni hii imejipambanua katika kuzalisha vyakula kwa matumizi ya binadamu ulimwenguni.Wakati nikiwa Uholanzi/Amsterdam niliweza kukutana na bidhaa km unga, biscuits nk zenye nembo ya Azam/Bakhresa Tz.Nilifurahi na kupongeza juhudi za mwekezaji mzawa. Tofauti na nilivyotarajia kuona...
  11. T

    Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  12. and 300

    Kujamiina (sex) ilikuaje ukapata Hadhi hivi

    Yaan hata uwe Brigedia sijui Jaji Mkuu wa dunia. Linapokuja suala la kujaamiiana Lazima uwe mpole na kufuata PROTOCOLS zote 7 sawa Bodaboda,masela jobless kijiweni au konda tu NB: Siku ya UTELEZI duniani
  13. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  14. MK254

    Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

    Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana. Ikikumbukwa hawa hawa Warusi...
  15. L

    Mkoa wa Hunan waelekea kuwa na hadhi sawa na Guangzhou kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msukumo mpya kwenye ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na nchi za Afrika. Kupitia majukwaa mbalimbali ya biashara ya China, kama vile maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China yanavyofanyika mjini Shanghai (CIIE), maonyesho ya bidhaa za...
  16. D

    Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

    Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD). Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
  17. T

    Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  18. N

    Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  19. GENTAMYCINE

    Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

    Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani. "Mimi nimeteuliwa na...
  20. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
Back
Top Bottom