hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Kimachosababisha wanaume wengi kusomesha wapenzi wao ni kulinda hadhi yake na ya watoto watakaowapata

    Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants Kwa mantiki hiyo lazima...
  2. U

    Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
  3. M

    Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  4. Pang Fung Mi

    Awamu ya 6 Tuna Bunge la Ajabu linalodharau elimu na hadhi za Msoto na zenye thamani kwa Taifa hasa hadhi ya Maprofesa wa chuo cha SUA

    Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
  5. Abdull Kazi

    Acharya Krishnam asifu hekalu la kwanza la Kihindu la UAE, akimpongeza PM Modi kwa kubeba hadhi ya India ulimwenguni

    Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
  6. Ncha Kali

    Wanawake wanapenda kuwaita watoto wao 'Prince and Princess', ila hawataki kuwapa baba zao hadhi ya King!

    Habari ndo hiyo! Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo. Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
  7. L

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko...
  8. Roving Journalist

    Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu “TRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  9. J

    Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu “trunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  10. matunduizi

    Wanawake walivyoishusha hadhi dhambi ya uzinzi kuwa sawa na dhambi maarufu Afrika ya Uongo

    Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda. Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
  11. D

    CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
  12. M

    Neno kubarikiwa limeshuka hadhi. Wagalatia tunapita wakati mgumu sana

    Mzuka wanajamvi. Yani Papa katuangusha sana. Sasa hivi mtu unaogopa hata kubarikiwa tu na mchungaji. Yani hata humu jamvin upande wa pili wanatudhibiti sana katika hoja pinzani kwa kutuambia Nenda kabarikiwe. Unabaki tu umelegea na kunyong'onyea yani wanatuweza kichizi. Neno kubarikiwa...
  13. GoldDhahabu

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Yote ni majeshi, lakini Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ni linatumika Zanzibar pekee na Polisi linafanya kazi pande zote za Muungano. Kwa uelewa wangu, JKU ni kama ilivyo JWTZ. Japo JWTZ na POLISI yote ni majeshi, lakini kwa mtazamo wa watu wengi, hasa Watanyika(sijui Sheria inasemaje katika...
  14. ndege JOHN

    Ikulu ndogo za mikoani ziboreshwe hazina hadhi

    Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house. Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya...
  15. Ghost MVP

    Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

    Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali? Pia bila kusahau TANESCO...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Wanakwaya, Makondakta na MC wameshusha hadhi ya kaunda suti

    Kaunda suti ilikuwa na hadhi waungwana, kaunda suti ukiivaa hata ukitembea kwa miguu unakuwa na thamani kubwa enzi hizo. Sasa hawa ma MC walioibuka kama uyoga kila mmoja ana kaunda suti zake. Yaani mtu akichapwa na maisha tu anajiita MC na cha kwanza ni kushona kaunda suti.
  17. Msanii

    Jeshi la Wananchi lipewe hadhi yake. Wanasiasa wanaliharibu kwa kuliingiza kwenye mivutano ya kisiasa

    Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu. Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    January Makamba: Tanzania katika anga la Kimataifa ina sifa na Hadhi ya Kipekee Duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani. Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera...
  19. Nigrastratatract nerve

    Vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana matapeli wanaojifanya chawa kwa kumshushia hadhi yake Rais

    Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui...
  20. Roving Journalist

    Mchakato hadhi Maalum kwa Diaspora kukamilika Mwaka 2024

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka 2024. Hayo yamesemwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na diaspora wa Tanzania nchini Uholanzi kwa heshima ya Waziri...
Back
Top Bottom