Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

Huyu jamaa amefanya kipi Cha maana Hadi mnampa heshima hasizostahili!?
Jamii kubwa inamheshimu sana hata kama wachache tunadhani hastahili, ninachosema ni kwamba ile jamii inayomheshimu muda si mrefu itamkataa na kumkebehi.
 
Yeye hataki heshima, anataka maokoto na madaraka.
Heshima unayoisema, ilikua ni daraja LA yeye kuwa hapo anapotarajia kuwepo hivi karibuni.
 
Jamii kubwa inamheshimu sana hata kama wachache tunadhani hastahili, ninachosema ni kwamba ile jamii inayomheshimu muda si mrefu itamkataa na kumkebehi.
Jamii kubwa iliyojaa wajinga,

Mtu wa heshima wakati kila siku unawalamba miguu watawala.
 
Motivesheni Spika na Mtafsiri wa vile vitabu waliandika wazungu huko zamani.
Haya mzee tuambie kaifanyia jamii maajabu gani ?
 
Back
Top Bottom