Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

BiancaEA

Member
Joined
Nov 23, 2025
Posts
41
Reaction score
80
Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado wanaazimana frying pan kama zamani
 
Hayo ni maendeleo na pia chapati zinapendwa sana,kuna migahawa chapati zinawekewa oda
 
Back
Top Bottom