Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.

2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?

2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?

2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?

JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
 
20241203_231958.jpg
 
Jeshi limebemendwa na ccm
 
Hadhi yao imeshuka kwasababu wako standby kuwazuia nyumbu wezi na waharibifu wa mali msiibe na kuharibu mali za umma? Kweli Nyumbu hamna akili, na mtakufa sana nyumbu nyie.

Si mnajifanya hamuwezi kuishi bila wizi na kuharibu mali za watu haya tokeni tena safari hii mpate mapokezi mazuri
 
Out of topic.kwa hili joto la dar nje hakuna uwezekano wakavaa flana tu. Zile za kijan kuendana na hali y hewa.najiskia vibaya sana .
 
Hivi nye wapumbavu aliye waambia kuwa jeshi linafanya kazi kwa matakwa ya mihemko ya kisiasa ya kikundi fulani ni nani?
Eti jeshi lilitakiwa kusimama na wananchi, kwahiyo nyinyi mlio enda kufanya uharifu ya kupora na kuharibu mali za watu ndo kielelezo na kiwakilishi cha raia wa tz hivyo jeshi lilitakiwa lisimame na nyinyi ili muchome nchi nzima na muibe mali za watu ambao wameshinda juani kuzitafuta kwa jasho?
 
Mkuu wananchi wengi wamepigwa risasi wakiwa majumbani kwao hata hawakupora cha mtu wala hawakuandamana, Jeshi la wananchi lilichukua hatua gani labda
 
JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.

2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?

2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?

2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?

JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Nenda kambini kawapigishe kwata na mafunzo ya kijeshi.

🚶🚶🚶
 
Mkuu wananchi wengi wamepigwa risasi wakiwa majumbani kwao hata hawakupora cha mtu wala hawakuandamana, Jeshi la wananchi lilichukua hatua gani labda
Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.
 
Kumbe haina macho subirii yakukute risasi haitauliza kuwa weye ni chawa au vipi huko huko ndani ulikojificha
 
Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.
Umeandika usenge hili kuhalalisha mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na wale majangili wenu, yaani majamaa yalikuwa yanaingia kwenye miji ya watu yanakusanya vijana wa kiume kwanzia umri wa miaka 15 kisha yanawapiga risasi kwa pamoja... halafu wewe uko hapa unasema eti "risasi haina macho" kweli??

Hivi mnapata manufaa gani kutetea ushetani kama ule mbwa nyie?
 
Back
Top Bottom