Enyi wapumbav kama wewe nendeni mkatubu kwa Mungu wenu(kama mnaye) walau hawarejeshee ufahamu hata kidogo, maana binadamu wa kawaida hawezi kuwa na akili kama hizi zako.
Mtu mwenye reasoning kama hii yako ni ama kalaaniwa au ana mental derangement.
Yaani kabisa unasema "wewe na familia yako mbona hamkufuatwa majumbani kwenu kuuawa"? ..kwa hiyo kumbe wanaopaswa kuongelea hili ni wale waliouawa tu basi sio? Kwamba waathirika ni waliouawa na ndio wenye haki ya kulikemea, sisi wengine ambaye tulinusurika hatupaswi kuongea maana halituhusu sio?
Hivi unatumia kiongo gani kufikiri binadamu wewe?
"bila huo upumbavu wenu mlio uita maandamano hao walio kuwa wanauwa watu wangepata wap sababu ya kufanya hivyo".. yaani serious kabisa, unaandika hivi kwa ujasiri wote huo halafu bado unajiona wewe ni binadamu timamu?
Kwa hiyo kumbe yakitokea maandamano hao majangili wenu wanakuwa na haki ya kuua yeyote aliyeko mbele yao haijalishi anashiriki hayo maandamano au hashiriki sio? Kwamba yakitokea maandamano basi ni mwendo wa kupiga risasi ovyo ovyo tu na lawama zote ziende kwa waandamanaji sio?
Aisee kwa akili hizi za kishetani wewe huna tofauti na mzoga unaoliwa na funza jalalani, maana wewe ni hatari sana hata kwa familia yako, ni bora ufe tu hili uende ukatubu dhambi hii ya kutetea mauaji huko kwa Mungu wako.