Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
JWTZ sio Jeshi sass hivi ni kikundi tu cha wahuni na machawa wa ccm
Nimeongozana nao hasubui hii Morogoro road karibu na Kibamba, yaan nilikuwa nawaona kama wasichana wa boarding school wanaenda kwenye kongomano la wanawake.Juzi niliwapita hapo sheli ya Sahwa, hii barabara ya kutoka Buhongwa kwenda Igoma wapo wengi tuliokuwa kwenye bajaji kila mtu alisonya kivyake
Kwani hao walio kuwa wanavunja na kuiba walikuwa wanaishi mbinguni na sio kwenye hizo nyumba unazo zisema?Umeandika usenge hili kuhalalisha mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na wale majangili wenu, yaani majamaa yalikuwa yanaingia kwenye miji ya watu yanakusanya vijana wa kiume kwanzia umri wa miaka 15 kisha yanawapiga risasi kwa pamoja... halafu wewe uko hapa unasema eti "risasi haina macho" kweli??
Hivi mnapata manufaa gani kutetea ushetani kama ule mbwa nyie?
Yakinikuta basi nitakuwa muhanga wa upumbavu wenu ya uporaji na ujambazi kupitia kichaka cha kudai haki na damu yangu itakuwa juu yenu.Kumbe haina macho subirii yakukute risasi haitauliza kuwa weye ni chawa au vipi huko huko ndani ulikojificha
Ukishaona JESHI limeingia VITANI na Raia wa nchi yake, maana yake HAKUNA JESHI hapo.Hadhi yao imeshuka kwasababu wako standby kuwazuia nyumbu wezi na waharibifu wa mali msiibe na kuharibu mali za umma? Kweli Nyumbu hamna akili, na mtakufa sana nyumbu nyie.
Si mnajifanya hamuwezi kuishi bila wizi na kuharibu mali za watu haya tokeni tena safari hii mpate mapokezi mazuri
Na ili kupona chawa kichwani inabidi unyolewe nywele zote na kisha zichomwe moto kuunguza chawa na mayai yake.JWTZ sio Jeshi sass hivi ni kikundi tu cha wahuni na machawa wa ccm
Aisee!Nimeongozana nao hasubui hii Morogoro road karibu na Kibamba, yaan nilikuwa nawaona kama wasichana wa boarding school wanaenda kwenye kongomano la wanawake.
funga kopo lako wewe kimada wa abdul! Hauna hoja!Hadhi yao imeshuka kwasababu wako standby kuwazuia nyumbu wezi na waharibifu wa mali msiibe na kuharibu mali za umma? Kweli Nyumbu hamna akili, na mtakufa sana nyumbu nyie.
Si mnajifanya hamuwezi kuishi bila wizi na kuharibu mali za watu haya tokeni tena safari hii mpate mapokezi mazuri
Wanatia hasira jamaa ujue.Juzi niliwapita hapo sheli ya Sahwa, hii barabara ya kutoka Buhongwa kwenda Igoma wapo wengi tuliokuwa kwenye bajaji kila mtu alisonya kivyake
Mama yako ndio ameshukaJWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?
2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?
JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Enyi wapumbav kama wewe nendeni mkatubu kwa Mungu wenu(kama mnaye) walau hawarejeshee ufahamu hata kidogo, maana binadamu wa kawaida hawezi kuwa na akili kama hizi zako.Kwani hao walio kuwa wanavunja na kuiba walikuwa wanaishi mbinguni na sio kwenye hizo nyumba unazo zisema?
Ww na familia yako mbona hamkufuatwa nyumbani kwenu na kuuawa au ww hukuwa tz kipindi hicho?
Au bila huo upumbavu wenu mlio uita maandamano hao walio kuwa wanauwa watu wangepata wap sababu ya kufanya hivyo?
Ukikufaaa itapendezaa sanaYakinikuta basi nitakuwa muhanga wa upumbavu wenu ya uporaji na ujambazi kupitia kichaka cha kudai haki na damu yangu itakuwa juu yenu.
Mimi bado naamini wapo upande WA raia, ikitokea TU watu wakatoka hakuna hata mjeshi mmoja atakayemgusa raia, hawajafunzwa na hawawezi kupambana na watu wasiyo na silaha. Amini nakuambia watu wakitoka jeshi litaungana nao.JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?
2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?
JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Hili kwa wanasiasa wanajipalia makaa ya moto bila kujua. Korosho hawakuzibeba bure kuna namna walipata kipato cha ziada kwa kazi nyepesi, usafi hawakufanya bure kuna namna waliingiza kipato cha maana kwa kazi rahisi, na sasa wako sheli na barabarani wakichomwa na joto sio bure kuna namna wanaingiza mkwanja kwa kazi hiyo tuJWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?
2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?
JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Kwa hiyo unasema TZ ilikuwa kwenye vita tarehe29.Unaijua vita wewe fuckin cunt?Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.
Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.
Walishindwa kulinda Raia Oktoba 29. Hakuna maajabuMimi bado naamini wapo upande WA raia, ikitokea TU watu wakatoka hakuna hata mjeshi mmoja atakayemgusa raia, hawajafunzwa na hawawezi kupambana na watu wasiyo na silaha. Amini nakuambia watu wakitoka jeshi litaungana nao.