Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

Huyo anatua Airport Hana hio Hadhi Tena, Hata diplomatic passport inabadilishwa
 
Na anatumwa mtu ndani ya familia Yao ya CCM amalizane naye airport na baada ya wiki mbili mnapewa taarifaa amekimbizwa nairobiii pumbu ya kushoto imefeli ,ndani ya cku kazaa unasikia r.i.p pole pole😁😁😁.....ila CCM 🤔
 
Jf imeishiwa cheo cha ubalozi hakifutwi na rais Dr slaa anaendelea Kuwa balozi hadi anakufaaaaa someni katiba,miongozi ya kidunia
 
Wengine tunasubiri mipasho tu.

Mwinyi Jr aliwahi kumchana mteule wake kisa katangaza kuachia ngazi kabla ya kuitaarifu mamlaka iliyomteua!
 
Na anatumwa mtu ndani ya familia Yao ya CCM amalizane naye airport na baada ya wiki mbili mnapewa taarifaa amekimbizwa nairobiii pumbu ya kushoto imefeli ,ndani ya cku kazaa unasikia r.i.p pole pole😁😁😁.....ila CCM 🤔
Nimecheka sana' anyway...

See you on Friday morning 😂
 
Akiwa mnyamwezi haruhusiwi kulima mkoani iringa?
Wala hamjui vizuri huyo jamaa. Mama yake mdogo tunakaa naye hapa na dada yake yupo Iringa pia.

Aliposikia jina Pole pole akadhani ni la kinyamwezi kumbe na wanyasa nao wanalo!!
 
Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.

Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.

Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Kwa sasa Polepole anakwenda kuipasia CCM. Naiona Timu MaGUFuLi ikija kwa kasi ya F-16 aka game changer.
 
Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.

Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.

Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Hapana. Hatamfutia kwasababu Rais Samia ni muumini mzuri sana wa 4R? Unazijua?
 
Back
Top Bottom