hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. Godbless Lema shukuru Nyerere hayupo hai angekufunza adabu

    Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga. Serikali inapaswa...
  2. R

    Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani inatekelezeka? Kitambulisho kilichoisha muda kinaweza kuwa hai kwa amri ya Waziri?

    Nimemsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani na nimesoma sheria inayotoa vitambulisho vya NIDA sijaona sehemu ambayo Waziri ana mamlaka yaku-extend validity ya kitambulisho cha NIDA Bila kuprint kitambulisho kipya. Niombe wanasheria watusaidie legal gap endapo kitambulisho kilichomalizika muda wa...
  3. R

    Msaada: HP LaserJet 400 M401 PCL 6 memory low, hai print

    Inaleta onyo kuwa memory low, msaada please
  4. Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

    Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa). Madondoo ya miongozo ninayoiamini -Kufa ni namna nyingine ya kuishi ya binadamu - Mtu hafi akapotea (MTU...
  5. M

    Acheni kulazimisha kumpeleka kumzika marehemu kule ambako alikataa alipokuwa hai

    Kumbe Marehemu Mrema akiwa Hai aliacha kabisa Maagizo kuwa Akifa asipelekwe Kuzikwa Kilimanjaro (Moshi) na badala yake azikwe hapa hapa Mkoani Dar es Salaam na kwamba Watakaolazimisha Kumsafirisha basi wajiandae Kuondoka nae rasmi Duniani (Kufa) kama ilivyotokea. Najua wapo mtakaolibishia hili...
  6. J

    Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  7. Kwa takwimu zilivyo na kwa hulka ya CHADEMA hakuna aliye hai leo atashuhudia CHADEMA inatawala nchi hii

    Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati kuwa wanasiasa na siasa. huu mchakato huchukua mda mrefu kufaniakiwa. PILI - Kushobokea siasa za...
  8. Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

    Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
  9. Uraia Hai ni chachu ya mabadiliko chanya katika jamii

    Uraia Hai (active citizenship) unamaanisha watu kujihusisha katika jamii zao na demokrasia katika ngazi zote na kuelewa kuwa sisi sote ni tofauti, lakini jukumu la kubadilisha jamii zetu ni sawa. Uraia hai unaweza kuanzia katika ngazi ndogo kama vile kampeni ya kusafisha mtaa wako au kubwa kama...
  10. Tukibaki Hai, Tutasimulia

    Ni muda mrefu sana kwenye hizi anga za simulizi, sasa hatimaye nimerejea na hadithi hii. Kwa wale wageni, waweza tazama hizi ... ni kazi ya mikono yangu ... https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1331844/ https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1220493/...
  11. Aliyefariki na kuzikwa Aprili 2022 apatikana akiwa hai Desemba 28, 2022

    Kijana Henry James (28) Mkazi wa Kijiji cha Kandaga Wilayani ya Uvinza Mkoani Kigoma ambaye aliyefariki na kuzikwa mwezi April 2022, amepatikana akiwa hai December 28, 2022 na kuungana tena na Familia yake huku akisema “mlipokuwa mnazika nilikuwa nimesimama pembeni kwenye mti” Mama mzazi wa...
  12. Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    Hii video inasambaa Sana. Kwani mhusika aliyepo hai video yake Ipo wapi?
  13. Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu! Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya...
  14. Amzika mwanawe akiwa hai apate ‘kudanga’

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Oliver Meshack (19), mkazi wa kitongoji cha Mapinduzi, kata ya Buselesele wilayani Chato kwa tuhuma za kumzika mwanawe akiwa hai, ili apate nafasi ya kuhangaika na wanaume kwa masuala ya ngono (kudanga). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo...
  15. J

    Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  16. Fascist trends katika dunia ya kwanza, USA na Germany mifano hai

    Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe. Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC), lakini hii demokrasia ya kisasa haina hata miaka 200 kwa nchi zilizoendelea. Ukweli ni kwamba nchi...
  17. Mwanza: Mama akamatwa kwa kumzika mwanaye akiwa hai ili apate utajiri

    Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri. Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
  18. Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

    Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa. Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi. Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa...
  19. CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

    Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF. it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba...
  20. Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…