Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
Habarini nyote,
Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo.
Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi.
Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari.
Yangu ni hayo tu.
Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k
Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO
Ufugaji Samaki Aina ya Sato
Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC.
Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la Uajemi. Iligundulika kuwa alichukua hongo/rushwa mahakamani na akatoa hukumu isiyo ya haki. Kwa sababu...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI
Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI
"Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai.
Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye.
Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuua kufanyika.
Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na...
Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo.
Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi
=======
Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai.
Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada...
Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023.
Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila ajiandae kwenda kuchunga mbuzi muda ukifikia.
Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili.
Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema!
Asie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.