Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai.
Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile
Matokeo yake anapokea fedha za wanaccm na hawasaidii chochote na hana uwezo wa kuwasaidia.
Kwenye hizi chaguzi za serikali za...
Wasalaam wana JF
Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA?
Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.
Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki.
Jogoo mbegu Hannah TODAYS
"Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa
Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa
Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli?
Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii!
Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...
Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH)
Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu,
Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
Wanaukumbi.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na...
Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria.
Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai.
Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25...
Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje.
Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
Anonymous
Thread
afya
hai
idara
idara ya afya
likizo
mwezi
usumbufu
Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg.
Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.