hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
  2. Taarifa rasmi ya Fedha za Mfuko wa Jimbo la Hai baada ya kudaiwa Mbunge anazitumia ndivyo sivyo

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe Pia soma: Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo
  3. Kwa vile bado tupo hai basi tujifunze haya

    Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi lakini mawili ni muhimu zaidi. 1. Kujielewa yeye ni nani na anahitaji nini. 2. Kujithamini kabla ya kuthaminiwa. Ukishafahamu hayo kila kitu utakiweka panapostahiki. Kuna watu wa kila aina ndani ya jamii zetu. • Kuna waungwana • kuna watwana...
  4. Tetesi: Baada ya wizi wa kura na mwenyekiti wa CCM wilaya kutoka wajumbe, Uchaguzi wa CCM jimbo la Hai kurudiwa

    Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena. Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na uchaguzi huo ambao uligubikwa na wizi was Kura, kuongeza Idadi ya wajumbe hewa Ili kuongeza Idadi ya...
  5. Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  6. Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  7. Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
  8. Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
  9. Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

    Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga. Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
  10. B

    Tuwakomalie Polisi kuwarejesha watuhumiwa wakiwa hai

    Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi. Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo. "Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha watuhumiwa hai kama walivyowachukua." Haiwezekani wajue kuuwa tu na si kurudisha uhai walioutoa kwa...
  11. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai, msikilize Chongolo

    Kuna kila dalili mbungewa Hai kuingilia uchaguzi wa chama wilaya ya Hai na amepuuza kauli ya bosi wake comred Chongolo.
  12. Kulikoni Halmashauri ya Wilaya ya Hai?

    Utaratibu wa Walimu kuhama toka chama kimoja cha wafanyakazi kwenda chama kingine ni sawa kwa Tanzania nzima. Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walimu wake washindwe kuhama wakati Utaratibu wamefuata kama walimu wa halmashauri nyingine? Walimu Wameichoka CWT, ni Wizi ni Rushwa kila kukicha...
  13. Msele mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM Hai kwa kumshinda mteule wa saashisha Mafue

    Mbunge wa Jimbo la Hai leo tar 25.9.2022 amepata pigo baada ya mjumbe aliyekuwa anampigania kushindwa na mr Msele kwenye jumuia ya wazazi ccm Hai.
  14. Rwanda inaiba wanyama hai kutoka mbuga ya Virunga, Congo

    Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola. Ifahamike, kundi la waasi la M23 ndilo linaendesha shughuli zake za uasi ndani ya mbuga la Virunga huko Kivu ya Kaskazini...
  15. P

    Aliyeanzisha uzi wa “Yanayojiri mgogoro wa Ukraine na Russia” yupo hai au vita vimeondoka naye maana hakuna updates

    Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali, Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi, Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake Mimi kila nikiingia Jukwaan, lazima nianze kusoma Uzi wake kwanza, maana huwa ninaamini kuwa yeye ndiye...
  16. SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  17. R

    UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

    Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani. Yaani ile UVCCM ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa...
  18. Siri ya watoto kumzika baba yao akiwa hai Songea

    Imani potofu za kishirikina walizonazo baadhi ya vijana wa Kijiji cha Mahanje, mkoani Ruvuma hasa anapokufa kijana mwenzao, zimesababisha vifo na mateso kwa wazee wanaotuhumiwa kuhusika na vifo hivyo. Mbali na vifo, pia wamekuwa wakiwahusisha wazee na matatizo yao, ikiwemo kuumwa kwa madai...
  19. M

    SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  20. Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

    Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…