Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa
Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming inavyotamkwa kifaransa) lilikua ni koloni la ufaransa ambalo ililichukua kutoka kwa wakoloni wahispania...
Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi!
Habari kamili;
Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
Niaje waungwana,
Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti.
Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.
Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
Mzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti...
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka...
Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024
Vurugu...
Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti
Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa kesi.
Uamuzi wa wabunge hao ulikuja siku ya Alhamisi, mara tu mahakama ilipokuwa ikisikiliza ombi...
Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na inashutumu CIA kuhusika, sasa US an fund Kenyan forces to be deployed in Haiti, Haitian are blacks...
Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha.
Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu.
Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
Msaada huo umetengwa kutoka kwenye Mfuko Mkuu wa Dharura (CERF), ili kushughulilkia hali mbaya ya Chakula nchini humo inayosababishwa na ghasia za magenge ya waasi
Ripoti ya Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa imeonesha tangu mwezi Julai 2022, takriban watu 500 wameuawa katika mapambano...
Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.
Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani kupitia Bahamas, sababu ya kukimbia Nchi yao zikitajwa kuwa ni umasikini na vurugu za wahalifu.
Kikosi...
Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022.
Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao.
Vurugu hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.