Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao
-
Naibu msemaji wa Umoja wa...
Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo.
Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
Polisi nchini Haiti imesema seneta wa zamani ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jovenal Moise ametiwa mbaroni nchini Jamaica.
Msemaji wa jeshi la polisi Gary Desrosiers [Derosieri] ameliambia shirika la habari la Associated Press kwamba John Joel Joseph yuko...
Mjumbe maalumu wa utawala wa rais Joe Biden nchini Haiti amejiuzulu kwa kupinga kile amechosema kufukuzwa bila kujali utu kwa wahamiaji wa taifa hilo pindi wanapoingia Marekani.
Haiti ni nchi ambayo imekumbwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na mafaa ya majanga, maafisa wamesema Alhamisi...
Serikali ya Haiti imeendelea kuingia kwenye sintofahamu baada ya Waziri Mkuu, Ariel Henry kumbadilisha Waziri wa Sheria, Rockfeller Vincent
Pia, Afisa wa Juu amejiuzulu akisema hawezi kumtumikia Kiongozi anayeshukiwa kuhusika kwenye mauaji ya Rais Jovenel Moise
Henry amekana kuhusika katika...
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021
Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
Takriban watu 304 wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku wengine wapatao 1,800 wakijeruhiwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Ariel Henry ametangaza Hali ya Dharura kwa mwezi mmoja
Mbali na vifo pamoja na majeruhi, Nyumba 949, Makanisa 7, Hoteli 2 na Shule 3 zimeharibiwa...
Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani.
Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita.
Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi.
Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
Wanajamvi habari za weekend
Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti
Wako kizuizini wakihojiwa.
Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama.
Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais.
Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka.
Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa?
Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.