Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea.
Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara...
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja.
Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa...
Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.
Nikamwambia mimi nitakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo.
Unajua why? Huwa...
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo
Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi...
Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu.
Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam...
Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati ya kushambulia na kusawazisha goli kuanzia na ile press yake japo hata hiyo press bado alionekana...
Hapa tuseme ukweli.
Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga.
Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade.
Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili.
Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo...
Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba
Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo
naomba anaejua.
Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka...
Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu.
Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya...
Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti
Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake
Manara huyuhuyu aliwahi kumtusi maneno mazito na kumdharau CEO wa Simba kwasababu za uanamke wake...
Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu Haji Manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka na ile bilioni 21 aliyosema ametumia...
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo...
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba
Kuwa nami hapa kwa updates/kinachoendelea
--------------------------------------------
Ameanza...
Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha.
Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote.
"Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.