Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu.
"Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha
Wameweka adi happy...
MEI 13, 2021
Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA.
Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda
By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara.
- Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni...
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China.
I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’?
By Edo Kumwembe
HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini...
"Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara.
===
HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio.
Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo...
Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda...
"Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara.
Chanzo: EFM Sports Headquarters leo...
"Rangi ya Kijani ni rangi ya Dini ya Kiislamu na Mtume na hiyo rangi Nyekundu ni ya Shetani na wale upande wa Pili", Haji Manara.
Chanzo: EFM Sports Headquarters leo.
Kwahiyo kwa mujibu wake Haji Manara ni kwamba Waislamu ndiyo wana Dini ya Mungu na Yanga SC wote kwakuwa ni ya Kijani ila...
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza.
Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko...
Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa
kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto kuingza mfuko wa kulia ndio maana labda na hakutakiwa kuweka media basi[emoji1787]
2. Maturity date...
Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC.
Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima.
Haya wale wana Simba SC...
Wanajanvi.
Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya historia yake kwenye eneo la nidhamu na weledi.
Ni kweli kuwa ametokea kwenye familia yenye vina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.