Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.
Tunasubiri kuona maamuzi...
Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu haziichafui tu Simba SC bali hata Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara husika, TFF na Wadau wote wa...
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia...
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji ( Mzungumzaji ) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize...
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao...
Nimependa hili andiko la @aadamskitundu , tulisome wote tutajifunza kitu....
Mpaka Sasa GSM Hawajafanya Malipo Yoyote Ya Kimkataba Kwa Klabu Yoyote Ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Halafu Hapo Hapo Wanataka Kutumia Kigezo Cha Simba Sc Kutojihusisha na Mkataba Wao Kama Ngao Ya Kusifia Maamuzi Hayo...
Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro.
Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea.
Hebu acheni huo ujinga!
Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?!
Shauri yenu.
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.
Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.
Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea.
Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
Haji Manara awaponda Viongozi wa Simba kumpa Urais wa Heshima Modewj, katika mazungumzo yake anadai kuwa, "Nchi Hii ina watu wa ajabu Kabisa, Wasomi wetu ni hovyo Sana, Hastahili hata Kuwa kiongozi wa Mtaa".
Toka zamani, Haji Manara anapenda sana mpira wa miguu ama ukipenda football. Kumbuka...
Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC.
Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina?
Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
Anakera sana huyu mtu. Sijui nani alimwabia yeye ndiye kila kitu katika hii dunia?
Halafu akiambiwa ukweli anajificha kwenye upungufu wa melanin kwenye ngozi yake (albinism) na kuanza kuomba huruma kwa umma. Haya siyo maneno ya kuongea hata kidogo.
Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara.
Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa...
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC.
Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.
Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.