Huo ndiwo ukweli.
Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.
Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu cha kusimamia mpira nchini na kwa Wizara ya Michezo kwa ujumla wake, lakini inavuka na kudhalilisha...
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC.
Taarifa: EFM Sports Headquarters leo.
Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
Hivi kribuni Nd Wallace Karia wa TFF kaingia ligi ya kujibizana na "crazy" Haji Manara, msemaji wa Yanga.
Katika tafrani hili linaloenda kukua chizi huyu Manara sasa kawaingiza tope TFF.
Lakini kuna msemo maarufu kuwa "Never argue with fool, people might not notice the difference".
Na hao...
Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid....
Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi?
Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge....
Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA
Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi!
Twende na Mandonga...
Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata.
Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
Namshauri Hassan Bumbuli asimuonee huruma huyo Haji Manara, amuombee njaa afukuzwe kabisa katika tasnia ya mpira. Aina ya utendaji wa Bumbuli ni wa kitaalamu kabisa, hana mambo ya kihunihuni.
Hii ni fursa kwa Bumbuli kumuondoa kabisa Haji Manara, na sio kumsaidia
Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake.
Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia...
Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo.
Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.
Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
amani
hajimanara
hatari
kabla
kiburi
manara
maswali
muhimu
nchi
rais
rais samia
samia
serikali
siku
soka
ulipo
usoni
virus
wakubwa
yako
yanga
yanga sc
yangu
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa.
Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na Sekretarieti ya TFF...
Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari.
Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
Huu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.
2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana.
3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )
Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni...
Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau,
Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake
Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.