haki za binadamu

  1. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    THBUB YAFANYA UKAGUZI KIWANDA CHA KEDS TANZANIA COMPANY LTD KUJIRIDHISHA NA UZINGATIWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  2. Ritz

    Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

    Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
  3. Dalton elijah

    Nini msingi wa Mahabusu kujisaidia kwenye ndoo?

    kuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi. - “Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema...
  4. S

    Waingereza hawataki Tena masuala ya haki za binadamu sie Tanzania nani hadi tukumbatie?

    The UK must look again at international agreements, Conservative leader Kemi Badenoch has said. In her first major speech on foreign policy, Badenoch said if the European Convention on Human Rights (ECHR) continued to stop the government acting in the country's national interest, the UK would...
  5. KING MIDAS

    Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

    Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma. Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na...
  6. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  7. Harvey Specter

    Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  8. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    THBUB yapokea Malalamiko ya uvunjwaji wa haki na ukiukwaji ya misingi ya utawala bora Kigoma

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
  9. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
  10. Mindyou

    Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye agoma kula gerezani ili kupinga kuendelea kushikiliwa

    Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake. Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na...
  11. Roving Journalist

    LHRC: Makazi ya watu Muleba yanabomolewa wakati kuna kesi Mahakamani, huu ni ukiukwaji wa Haki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA Dar es Salaam 10, Februari 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
  12. The Watchman

    DRC kuwasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi katika kile inachokiita ni ukiukaji wa haki mjini Goma

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa Goma. Balozi wa Congo katika baraza hilo Paul Empole Losoko Efambe aliwaambia waandishi habari...
  13. B

    Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

    Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua. Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
  14. chiembe

    Kwa kuwa kuzaa nje ya ndoa imekuwa kama fasheni, zitungwe sheria kali za matunzo ya mtoto

    Nashauri serikali ipeleke muswada maalum wa kuwalinda watoto kwa kuwa ni dhahiri muda si mrefu watakuwa waathirika. Katika Hali ya sasa binadamu wamekuwa kama wanyama pori, bata au kuku, madume yanadunga mimba halafu yanaondoka. Hii ya kusema single mother ni signal kwamba katika jamii kuna...
  15. Mashamba Makubwa Nalima

    Kituo cha sheria na haki waelezea uchaguzi ndani CHADEMA na CCM

    Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga amesema Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefanyika kwa Haki na Uwazi, kinyume na matarajio ya wengi kutokana na mnyukano uliokuwepo mitandaoni kabla ya siku ya Uchaguzi wenyewe na...
  16. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    Makamu Mwenyekiti THBUB: Hali ya haki za binadamu nchini inaendelea kuimarika kutokana na uelewa wa watu kuongezeka

    Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed Khamis Hamad, alisema, hii ni kutokana na watu kuwa na uelewa wa kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za...
  17. Dalton elijah

    Wachimba Madini Haramu 100 Wafariki Afrika Kusini

    Watu 100 ambao walikuwa wakichimba madini kinyume cha sheria katika mgodi wa dhahabu usiofanya kazi nchini Afrika Kusini wamefariki baada ya kunaswa chini ya mgodi huo kwa miezi kadhaa, huku polisi wakijaribu kuwaondoa huko, kundi linalowakilisha wachimba migodi hao limesema jana Jumatatu...
  18. chiembe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hawajakemea ubaguzi wa jinsia, ukanda, na udini unaifanywa na Lissu na Heche

    Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche. Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama...
  19. Mtoa Taarifa

    Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
Back
Top Bottom