Toka: Geneva, Uswisi.
Waheshimiwa Wabunge salaam.
Poleni sana kwa mapambano na hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Naendelea kuifuatilia kazi yenu kwa ukaribu sana.
Bila shaka mlisikia kwamba nilipeleka malalamiko juu ya mambo niliyotendewa na Tanzania ya Magufuli kwenye Umoja wa Mabunge...
Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni).
Mishowe msemaji huyo wa...
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote.
Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA.
Dar es Salaam. 06 Januari, 2020
Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
Mwaka 1948, Umoja wa Mataifa ulichagua tarehe 10 mwezi 12 kila mwaka kuwa Siku ya Haki za Binadamu ambapo kwa mwaka huu Kaulimbiu ni 'Vijana Wanasimamia #HakiZaBinadamu'
Kaulimbiu imeweka vijana kwasababu ushiriki wa vijana ni muhimu kufikia maendeleo kwa wote na Wanaweza kuchukua jukumu muhimu...
Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema wanatafakari kuIshtaki Serikali ya Tanzania katika kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika.
Katika barua...
Wataalamu wa sheria tunaomba uchambuzi wa kina tujue hii kitu na uhalisia wake katika kutekelezeka
===
PROTOCOL TO THE AFRICAN CHARTER ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS ON THE ESTABLISHMENTOF AN AFRICAN COURT ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS
The Member States of the Organization of African Unity...
Mwanaharakati maarufu wa mashirika ya kiraia Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano, Novemba 20, wakati alikuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda mji mkuu wa Kenya, Nairobi ambako anaishi.
Almaas Elman ameuawa wakati alikuwa akisafiri kwa gari katika eneo salama karibu...
Nayakumbuka maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha DSM siku alipoalikwa na uongozi wa wanachuo.
Wakati ule kulitokea kipindupindu maeneo ya Mtwara. Serikali haikununua dawa kwa sababu haikuwa na hela. Hivyo serikali ikaagiza wananchi wazingatie usafi. Watu wakaendelea kufa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.