Nabii Mkuu,
Kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia Makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha
Bila shaka munakumbuka kuwa hapo Arusha aliwahi kudaiwa kuwa ni tapeli wa Magari, kwa Makonda alivyo na chuki na...