Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo:
Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa.
Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu...
Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya tarehe 11.12.2024 akiwa tayari amefariki Kwa ajali ya pikipiki MC 415 DQC. Ndugu zake akiwemo mkewe...
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi
Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi...
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01
Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand.
Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts.
Kickboxer ni moja ya classic movies...
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Heshima ssna wanajamvi.
Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul.
Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni.
Mheshimiwa Abdul...
Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga
Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara
Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo...
Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili.
Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni...
Kumradhi kwa taarifa ya mwanzo niliyoleta kwenye uzi uliopita. Clemence alikuwa mmoja kati ya watu waliouawa kwenye uvamizi katika kibbutz Nahal Oz October 7 mwaka huu. Inavyoonekana ni kwamba watu wengi ambao ni raia wa Israel au raia wa nje bad hawajulikani walipo.
Mfano mwanadada Shani...
Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .
Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .
Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.