Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga
Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili.
Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail".
Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi dogo sana linalo mtazama Gorbachev kama mwanamageuzi wa kikomunisti alie fail na sio kama pandikizi...
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti.
Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao.
Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote.
Kudai kuwa hawa...
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
Hello JF crew!
👇👇👇
Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote.
Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi.
Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake.
Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
"Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro.
Chanzo: Mitandao ya Tanzania
Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
Habari zenu wana jamii forum
Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu.
Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini
Na jinsi...
Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo
Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua
walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k
wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k.
Samaki - wawe na magamba + mapazi
walioruhusiwa...
Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.