GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini India alipokuwa akipatiwa Matibabu kufuatia Maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Ibada hiyo Imefanyika katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Boko Jijini Dar es Salaam.
Mara baada ya kumalizika kwa Ibada hiyo Mwili wa Mzee Ngure utasafirishwa kuelekea Moshi kwa ajili ya Mazishi.
Chanzo: Manaratv
GENTAMYCINE huwa naogopa sana maeneo mengine kujitokeza Kumsifia Mtu wakati Mimi mwenyewe nina Dhambi tele.