hakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

    Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo...
  2. Suzy Elias

    DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini. Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali. Sasa baada ya...
  3. M

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!! Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland Russia’s state-owned energy...
  4. Kinoamiguu

    Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

    Wanajanvi, Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli. Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli. Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi? Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta...
  5. luangalila

    Triple C kule Morocco hakuwa na Raha

    Aisee nime muona chama ktk viwanja vya mazoezi Simba jamaa ana furaha sanaa, full kucheka, jamaa ana tabasamu, nimeamin kweli mwamba wa lusaka kule Morocco hakuwa na Furaha
  6. aka2030

    Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  7. Miss Zomboko

    Rais wa zamani wa Afghanistan asema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka Kabul

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu. Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea wakati huo ya makubaliano ya kuwachia madaraka kwa amani, kama walivyodai...
  8. Suzy Elias

    Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

    Unafiki siyo tusi wala neno baya. Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki. Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia...
  9. Baraka21

    Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

    Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995. Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye...
  10. Teleskopu

    Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

    Kama umefuatilia angalau chache kati ya post zangu, utagundua kuna maneno huwa yanajirudia, mfano: DUNIA IMEJAA UONGO, UNACHOONA SICHO KILICHOPO, nk. I mean what I say. Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuvamiwa na kuuawa kwa Sadamu Hussein ni uongo Kile ambacho dunia iliambiwa ni...
  11. Mung Chris

    Msemaji wa Serikali Hakuwa mkweli kuhusu Mafao ya PSSSF kwa watumishi wa serikali walio staafu

    Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  13. Chizi Maarifa

    Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  14. GENTAMYCINE

    Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

    Mkapa alikuwa haogopi mijadala ya kimataifa- Rais @SuluhuSamia Chanzo: EastAfricaTV Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Siku zote ukiwa na Akili sana, Unajiamini, Msomi na Msomaji mzuri wa Vitabu, una 'Exposure' ya Kutosha, siyo Mnafiki wala Muoga, Mcha Mungu hasa na siyo Mchanganya Mungu na...
  15. Cvez

    Tusitengeneze 'character' mpya ambayo Rais Samia hakuwa nayo

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema "Ukimkimbiza sana mjusi hugeuka kua nyoka na kukuuma" Viongozi wa upinzani piganieni haki yenu ya Kikatiba kwa sasa. Ambayo ni kufanya mikutano ya hadhara hiyo ipo wazi. Simamieni hapo Katiba imewaruhusu na Mama hawezi kuzuia hilo. Anapaswa kuheshimu Katiba...
Back
Top Bottom