Wakuu salaam,
Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha.
Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023
Saa 4:00 Asubuhi...
Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3.
RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.
WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA
Spika wa...
NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca.
Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua...
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara.
Matokeo ya taarifa hii ikawa ni tofauti kabisa.
Kulikuwa na jua kali licha ya taarifa yao. Nawashauri kuwa toeni taarifa iliyo sahihi ili wananchi...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesisitiza umuhimu wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa kutolewa kwa uhakika, usahihi na kwa wakati kwa ajili ya maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi.
Haya yalizingumzwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang’a wakati akifungua Warsha ya...
Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania.
TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo...
Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi.
Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo...
Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda.
Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa.
Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.
Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze...
Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam.
Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa.
Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Desemba 2022, zitakazosababisha kupungua kwa unyevunyevu katika udongo hivyo kuleta athari mbalimbali.
Imeelezwa kutakuwa na vipindi virefu vya ukame na...
Hicho ndicho anachosema sema NASA.
Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa.
Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au kuhatarisha maisha ya wanadamu. Kwa kawaida, kwa wabobezi wa anga za juu hicho kiuno, ama tumbo, ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.