Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana.
Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni.
Twende kwenye mada!
Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
Baridi kali, hewa kavuu
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.
Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo
Katika siku za hivi karibuni Nchi kadhaa zikiwemo Uturuki, Ugiriki, Lebanon na Cyprus zimekumbwa...
Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali na Bahari, maziwa, mabwawa, mito na vijito. Hali hii ikijumuisha na sifa mbalimbali za udongo...
Takriban watu 21 wamefariki dunia kufuatia mvua yenye baridi na upepo mkali wakati wanakimbia (Ultramarathon) katika Jimbo la Gansu Kaskazini Magharibi mwa China.
Maafisa katika eneo hilo wanasema mbio hizo zilizojumuisha watu 172 ziliathiriwa ghafla na hali mbaya ya hewa ambapo ndani ya...
Kwanza niweke wazi kuwa mimi si Daktari na wala sina utaalamu wa magonjwa ya kuambukiz bali nimetumia tu common sense na elimu ya kusoma vyanzo mbalimbali na hatimae ku-arrive at this conclusion:
Tuanze kwa kutazama herd immunity ni mini.
Herd immunity ni kinga inayotokana na sehemu kubwa ya...
Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamewataka wananchi kuchukua tahadhari zinazotolewa kwa kuwa ufanisi wa utabiri umeongezeka hadi kufikia 80% kutokana na wataalamu wenye weledi na vifaa vya kisasa wanavyotumia
TMA inaendelea kutahadharisha wananchi kuhusu kimbunga JOBO ambacho wamesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.