hali ya kikwete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kikwete hajambo huko? Anaendeleaje? Mbona kimya kimetanda sana?

    Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo. Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka...
Back
Top Bottom