Wakuu Kikwete hajambo huko? Anaendeleaje? Mbona kimya kimetanda sana?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.

Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?

1760086746269.png
 
View attachment 3486523
Mkapa anajutia huko aliko alikatazwa kumpa huyu m...mf...u..s...k ....nafasi Urahisiii
 
Ni mjanja sana kwa hali inayoendelea kapumzika ila yupo TU na Bado atakuepo..

Bora msimuombe mabaya.. ni kama ndio mnamuombea kheri TU

Inaonekana dawa zake ni ukimuombea mabaya ndio unamuongezea kheri.. na afya 😂😂
 
Hana hamu na jumbe za watu siku hiyo. Kila mtu amemtakia mabaya kwenye siku yake adhim. Kuombewa mabaya na Watanzania kama 60m sio mchezo ujue. Haiwezekani watu wote hao wakuone wewe ndio mbaya, lazma kuna ukweli.
 
Tangu Captain Tesha amchane live, naona kama amejishtukia. Sasa nimeelewa ni kwa nini Jiwe na yeye alimchana live kuhusu ishu yake ya kuwashwa washwa.
 
Labda tezidume limemrudia tena you never know au pengine parapanda or maybe amekata umeme or maybe amekamatwa na capt TESHA or maybe..!!
 
Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.

Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?

KIFO NI KIFO TU, ASIZUE TAHARUKI.
 
Unataka umuone kila saa we ni Mama Salma?
 
Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.

Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka kumpenda zaidi au ndio yupo chimbo bado anaendelea kusherehekea birthday yake?

Yupo sana. Anapumzika baada ya mikutano mingi na mwisho kumalizika kwa mkoa wa Pwani ambako ndio nyumbani. Atarejea punde
 
Back
Top Bottom