Hivi karibuni kuliibuka kundi la ma-CCM yakihoji utendaji kazi wa Halima Mdee jimbo la Kawe. Leo wamepewa makaburi na bwana Gwajima. Jisomee mwenyewe hapa chini Gwajima akiuthibitishia umma kwamba Mdee kachapa kazi kwa kiwango cha juu kabisa.
ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe...
Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni siku 7 na anaelekea Tume kuwasilisha rufaa yake.
Mdee ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na...
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee.
-----
Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa.
Source Umoja Tv!
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute...
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga meza.
Anayeitwa askofu hata kura za maoni alishika nafasi ya 3, maana yake hakubaliki hata ndani ya...
Kwangu mimi Halima Mdee Mdee naweza kusema ndiye mwanamama jembe na shupavu asiyeogopa na hata hachoshi kumsikiliza. Ni moja ya wanawake shupavu sana nchini na msaada mkubwa sana katika bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huyu Mwanamama ni msomi mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana...
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI?
Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge...
Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira...
Hatari Wana JF,
Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.
Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.
Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa...
Ni 'Akili' ya kawaida tu isiyotaka ujihangaishe sana tu Kujua kuwa Kukaa Kwako Kawe ambako pengine kutokana na 'Unafiki' wako kama 'Mdau' kama hakuna Maendeleo basi haimaanishi kuwa Kawe nzima hakukuwa na Maendeleo. Tena nadhani Mbunge Halima Mdee anastahili Kongole/ Pongezi nyingi tu kwani...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA! HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.
Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake ambazo pia zinapatikana mitandaoni, na uzuri hapa...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halimamdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.