Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
arusha
askofu gwajima
ccm
dodoma
freeman mbowe
furaha
halimamdee
jerry silaa
jpm
kigamboni
kigoma
kura za maoni
makamba
makonda
matokeo
mbunge
mkono
mshindi
mtu
mwakyembe
pascal mayalla
paul makonda
pesa
rais magufuli
rushwa
tarime
ubunge
uchaguzi
watanzania
wote
Barabara ya Makonde-Baraza la Mitihani hadi kuunga Goba rd, ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa Mbezi.
Barabara hii ni kubwa sana na kulu Mbezi Juu kuna vigogo muhimu kama Katibu zMkuu TAMISEMI na mkuu wa TAKUKURU,ambao kwa nyadhifa zao kukaa kule ni lazima zingepata jicho la utofauti.
Mbunge...
Pamoja na Kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya kuwataka viongozi wa kuteuliwa kuridhika na vyeo vyao , lakini taarifa za leo kutoka EA TV zinadokeza kwamba Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndugu Richard Kasesela ametangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kawe la Jijini Dar es Salaam.
Kwa kipindi cha miaka 10...
May 22, 2020
Bungeni Dodoma
Tanzania
DAKIKA 17 ZA HALIMA MDEE BUNGENI LEO
Mh. Halima James Mdee mbunge wa CHADEMA aichambua taarifa ya CAG aliyepita na CAG mpya ambao wote wameonesha jinsi taasisi kubwa kama Mifuko ya Jamii na National Housing kushindwa kujiendesha.
Mifuko ya Jamii ipo hoi...
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Meya Boniface Jacob ni mmoja kati watu 15 waliofikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi hii leo.
Bado haijajulikana wanashtakiwa kwa kosa gani.
Wametoka Kituo cha Polisi Stakishari
======
UPDATE:
Kwenye hati ya mashtaka inaonekana kesi itakuwa washtakiwa 29.
Wabunge watatu wa CHADEMA...
Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini Tanzania ni Makusudi maalum ya Mwenyezi Mungu.
Kwa sababu ya uthubutu wake wa kuwatetea wengine na...
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni...
Viongozi watatu; Halima Mdee (Mb), Esther Bulaya (Mb) na Esther Matiko (Mb), wametoka magereza asubuhi ya leo na watazungumza na wanahabari leo katika Ofisi za CHADEMA makao makuu Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Polisi wamewablock viongozi wa CHADEMA Mheshimiwa Halima Mdee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.