halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerry Farms

    Serikali iatamie wahitimu wenye ujuzi kwa rasilimali wezeshi mtu mmoja mmoja na si vikundi chini ya usimamizi ya timu ya wataalamu wa halmashauri.

    Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

    Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi. Wamepitisha pendekezo hilo jana, Machi 11, 2025 kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, kwa ajili ya...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya mjini kupata jimbo jipya la Uyole

    Wakuu Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Dk Tulia Ackson ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. Mwanongwa

    Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki

    Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya haipo katika hali ya kuridhisha kutokana na baadhi ya majengo yake yanayotumiwa na Wanafunzi kuwa chakavu sana. Nimepita katika shule hiyo mara kadhaa na nimekuwa nikiumia sana kuona hali hii, nashauri Serikali ifanye maboresho kabla...
  5. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  6. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  7. boy lanugo

    Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  8. The Watchman

    Serikali yakamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita

    Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika. Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema daraja hilo lilikuwa moja ya changamoto kubwa aliyokuwa akiitafutia...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

    Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa...
  10. baro

    Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

    Wakuu Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
  11. A

    Viwanja vimebaki vichache sana Mabwepande. Mnaowahi fanyeni haraka

    Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja. Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari. Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla. Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
  12. The Watchman

    Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari

    Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika...
  13. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga kuwawezesha wanufaika kukuza shughuli zao za kiuchumi na kujitegemea, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali...
  14. A

    KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  15. M

    Kazi za tender za halmashauri miradi ya serikal mashule,zahanati

    Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
  16. Mkalukungone mwamba

    Halmashauri ya Mji Kibaha sasa imepanda hadhi na kuwa Manispaa

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa. Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27 na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa...
  17. Ojuolegbha

    Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni

    Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu. Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
  18. M

    Msaada wa Katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu kwenye mikopo ya Halmashauri

    Nianze kwa salaam Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina Hivo nikaona nije hapa JF Kuna...
  19. Frustration

    Msaada wa mawazo, mwenyekiti wa kijiji na halmashauri yake yatakiwa polisi kwa kosa la kwenda kuhoji wafugaji.

    Nimehamishia jukwa la siasa
  20. galimoshi

    songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
Back
Top Bottom