Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kuuzwa kwa shule hiyo.
Taarifa hiyo imewataka wazazi kutokuwa na hofu, kwani shule...
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya
Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa
Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB)
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa
Tunawaomba mtume wataalam waje wachunguze ufisadi unaoendelea katika Halmashauri ya Rorya
Kuna kiasi cha Tzs...
Habari za wakati huu.
Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini.
Hivi Karibuni uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ulileta mzabuni mpya wa kukusanya taka...
Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na usimamizi wa taka ngumu katika Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam.
Mratibu wa Mradi wa Benki ya...
Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya.
Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa na Wanawake wengi kupika chakula cha biashara kuna jalala lililopo pembeni, kwa ujumla hali ya uchafu...
Huu uchaguzi haukupaswa kusimamiwa ngazi ya kitaifa kupitia TAMISEMI kama vile ambavyo imekuwa inafanyika au hata kupitia Tume Taifa ya uchaguzi kama ambavyo CHADEMA wanahitaji kuwa hivyo.
Huu uchaguzi ulipaswa kusimamiwa na Halmashauri za wilaya, miji na majiji kila moja ikifanya hivyo kwa...
HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje?
Naomba kuwasilisha.
Ahsante
Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
Hili sijui naliona mimi pekee ni shida, kwanini ofisi nyingi za Masijala za halmashauri hazina dawati maalum ndani ya ofisi kwa ajili ya kuhudumia wateja wao ambao wengi wao huwa ni watumishi ila wao hupenda au hulazimisha huduma kufanyika dirishani, tena wenyewe wakiwa wamejifungia kwenye ac...
Habari wakuu
Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI??
Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025.
Mhandisi...
Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu ya bunge inayoshughulikia Elimu, Utamaduni na Michezo Bi. Husna Sekiboko ametoa kauli hiyo leo...
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.