Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga.
Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
Mheshimiwa Rais,
Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
Wana JF,
Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya utajiri wake ni kutokana kilimo cha kahawa, ndizi, mihogo, Karanga, maharage na mtama, pia wilaya hiii...
Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.
Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
Amani iwe kwenu wadau!
Kwa kumbukumbu zangu kuna mabadiriko ya sheria yaliyohusisha Fedha za zao la korosho na vyama vya ushirika. Mabadiriko yale yalipingwa vikali sana na wabunge wa kusini akiwemo Nape na kupelekea Hawa Ghasia kutumia diplomasia kujiuzuru uwenyekiti wa kamati moja ya Bunge...
Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho .
- Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa
Mwandishi wetu, Siha
Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
TAREHE: 26/05/2020 YAH: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA DEREVA WA MITAMBO DARAJA II – NAFASI 3
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa za kujaza nafasi za uendeshaji wa mitambo ya “Roller, Excavetor na Grader” kama...
Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini.
Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.