Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika.
Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani.
Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya...
Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni
SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao.
Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na Halmashauri Kuu kugombea Udiwani
Mshindi wa pili, Gerald Ngale alipata kura 83 na mshindi wa kwanza ni...
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020.
Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
Salaam
Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya ni watu muhimu sana katika kusukuma gurudumu la maendeleo nchini kwetu. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri wote ni wasomi wa angalau shahada ya kwanza tofauti na wabunge ambao hata darasa la saba wapo.
Mkuu wa Wilaya ndie...
Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa.
Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha ACT-Wazalendo kinaendele muda huu Hoteli ya Lamada jijini Dar-es-salaam Tanzania.
Leo Halmashari Kuu inapitia na kupeleka majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar kwa Mkutano Mkuu utakaofanyika Agosti 05, 2020 katika...
Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
Wakati Watumishi wote
Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
Na Fundi madirisha,
Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii!
Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni nataka niwadokezee kidogo, mna mtu mmoja mpambanaji na ni mtu wa kazi sana anaitwa HAMISI LISSU MAHANJU...
" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
LEO Julai 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Godfrey William Ngupula.
Mbali na uteuzi wa ACP Bulimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.