Habari za wakati huu wakuu, natumaini wote tu wazima buheri wa afya na mafua ya kubana yatupitie mbali, twende kwenye mada moja kwa moja.
Mamlaka za Serikali za Mitaa zinajulikana kama halmashauri, hizi mamlaka zipo ngazi tofauti tofauti kuanzia chini hadi ngazi ya juu. Ngazi za chini ni...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kutokana na hali...
Serikali iko kwenye mchakato wa kutayarisha bajeti ya 2021/22.
Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali katika bajeti ijayo aidha ifute HOTEL LEVY katika Mamlaka ya Halmashauri au iweke tozo ya flat rate badala ya makadirio ambayo inaashiria harufu ya rushwa.
MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo wanadaiwa kuzitumia kwa matumizi yao binafsi.
Amesema wakishindwa kurejesha fedha hizo, watakamatwa...
Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22.
Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika.
Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa.
Zaidi, soma...
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiuliza kwanini mashirika ya umma mishahara yao ni tofauti na wizara na halmashauri utaambiwa haya mashirika yanazalisha fedha kwa serikali na kujiendesha.
Tuje kwa halmashauri huku kuna tofauti kubwa ya makusanyo kati ya halmashauri moja na nyingine lakini mishahara ya watumishi wote wa...
Serikali imewataka wakuu wa mikoa ambao halmashauri zao zimekusanya mapato chini ya asilimia 50 wafanye tathimini na kuweka mikakati ya kukusanya mapato zaidi katika vipindi vilivyosalia ili kufikia malengo ya mwisho wa mwaka.
Pia imewataka wakurugenzi wa halmashauri ambazo hazijafikia asilimia...
WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru.
Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza, kupitisha sheria ndogo za ada na ushuri ambazo tayari zimepata baraka za Wizara...
Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi
Yassini...
Ukipita kwenye wikipedia pages zinazozungumzia miji au maeneo ya wenzetu unajihisi umeshafika. Wanaeleza kila kitu kwa mapana yake.
Historia, jiografia, hali ya hewa, uchumi, siasa, elimu, afya, utalii nk wanaambatanisha na picha za kutosha. Ila hizi za kwetu ni uzembe mtupu. Unakuta mistari...
Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA.
Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu amezielekeza halmashauri zote kuwa na miundombinu bora ya kukusanya, kuhifadhi na kusafirisha taka ili kulinda afya za wananchi.
Alitoa maelekezo hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Soko la Majengo jijini...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara.
“Nikiangalia hoteli...
Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya...
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri 185 nchini kuhakikisha wanafikisha zaidi ya 50% ya makusanyo ya mapato ifikapo Januari 15,2021.
Ametoa agizo hilo wakati akiwasalimia watumishi wa halmashauri...
Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba.
Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani
Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo Chanya Kwetu Sote
Tuliahidi
Tumetekeleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.