MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI.
Tarime, 16 May 2021
Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu.
Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi...
POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
Kuchunga usalama wa abiria...
Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy.
Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka.
Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .
Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Najua humu jukwani kuna kila aina ya watu toka katika sekta zote, ninaamini hata hili nitajibiwa kikamilifu.
Napenda kujua zile nafasi mbalimbali za vibarua zinazotangazwa na halmashauri za miji mfano kinondoni,tabora nk,hasa vibarua wanaopewa mashine kwa ajili ya ukusanyaji mapato kwenye...
Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
Mh. Juma Raibu Juma,
Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025.
Mimi nikiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewasimamisha kazi wakuu wa idara watatu wa halmashauri ya Sengerema kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo.
Waliosimamishwa kazi ni Tabwe Seleman ambaye ni kaimu mweka hazina wa halmashauri hiyo, Renatus Shule (kaimu...
Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe)
Ushauri.
Mh Seleman Jafo jipange...
Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni.
Tuko mubashara TBC.
Updates:
Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA NITAENDELEA KUWEPO KWA UWEZO WA MUNGU MWEMA.
Habari wanabodi..!
Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu.
Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na
1.wajumbe wake
2. Ikidi
3. Meza kuu wanakaa watu gani
4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka
5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona
Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:-
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.