Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600
Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
Habari wadau..!!
Wiki hizi mbili tatu nimekuwa busy sana na kuzunguka kwenye hizi taasisi za kiserikali.
Katika mizunguko yangu nimejifunza kwamba hawa watumishi wa halmashauri ni viburi,nyodo nyingi tofauti kabisa na wale watumishi wa ofisi za wizara.
Kibaya zaidi unaenda ofisi za...
Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
Salaam Wakuu,
Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
Habari wadau..!
Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam.
Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi!
Hii hali haikomi?
Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria.
It is bordered to the...
Habari wadau..!
Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161).
Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC.
Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)
Ikulu hawako serious.
Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenzi
wakurugenzi wa halmashauri
wapiga debe
wilaya
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi.
Akizungumza leo na...
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
Wilaya ya Tunduru ni mojawapo ya wilaya za mkoa wa Ruvuma ikiwa mpakani mwa nchi ya Msumbiji. Nauliza hii halmashauri ina mkurugenzi kweli? Nauliza kwa sababu wakati tunasajiliwa km walimu wapya walioajiriwa mwezi wa 6 mwishoni tulifanyiwa mambo ya hovyo kweli.
Idara yao ya utumishi na ofisi ya...
Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.
MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO
Na Mwandishi Wetu, TANGA
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wataalam, wabunifu na wabobezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.