Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa.
Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati...
Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka.
Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa.
Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu.
Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili...
Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu.
Masoko yanaungua kila leo.
Soko Kuu Kariakoo
Soko la Karume
Soko la Mbagala
Soko la Moshi
Soko la Geita
Soko/Mall ya Mwanza
Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu.
Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile.
Uchafu wa wiki iliyopita bado...
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
#NyukiWaMama
Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa kuchota milioni 140 fedha za makusanyo ya ndani.
*Wadaiwa kuigeuza halmashauri “shamba la bibi “
*Yumo mwanasheria,mhasibu,mkaguzi wa fedha za ndani pamoja na mtaalamu wa mfumo wa mashine za kukusanya mapato .
Na,Mwandishi Maalumu
SIRI mbalimbali za...
HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan.
Kikao...
Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani.
Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko...
Driver jobs Njombe District Council, nafasi za kazi njombe district, ajira ya udereva halmashauri ya njombe tanzania, driver jobs tanzania today, driver jobs in tanzania, embassy driver jobs in Tanzania, driver jobs Tanzania 2021, driving job in halmashauri ya njombe, driver job in tanzania...
WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo;
Hati za Ukaguzi...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne
26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo.
#ChamaImara
#KaziIendee
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari.
Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
Asalam!
Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.
Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.