halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  2. polokwane

    Waziri Nape, mmeamua walimu na wanafunzi wafanye kazi ya anuani za makazi bure baada ya halmashauri kutafuna pesa za kuwalipa waliofanya kazi?

    Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho. Ushauri wangu...
  3. Biz TV

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  4. L

    Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  5. beth

    Dkt. Kimei: Mchakato wa utoaji mikopo ya Halmashauri ufanyiwe tathmini

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji". Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais -...
  6. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mgambo Waliowapora Machinga ndizi wasimamishwa, Waziri aingilia, Halmashauri yaomba radhi

    Kufuatia Video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha Mjasiriamali mdogo wa ndizi akichukuliwa bidhaa zake na mgambo wa Halmashauri ya Mwanza, kuna matamko kadhaa yametolewa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa WAZIRI AAGIZA MKUU WA MKOA AINGILIA "Nimeona video inayosambaa...
  7. B

    Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

    Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
  8. luangalila

    Halmashauri ya mji Kibaha zoezi la Postikodi linahujumiwa

    Nikiwa kama mkazi ndani ya Halmshauri ya mji huu, Kiukweli zoezi la postikodi lina hujumiwa licha ya jitihada ya serikali kuwapa taarifa wananchi mara kwa mara juu ya zoezi hili. Ndani ya halmashauri hii ikiwa leo ni tareh 15 ya mwezi April, kuna kata ambayo sitaitaja zoezi la ukusanyaji wa...
  9. Jamii Opportunities

    Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (1 Post)

    MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Musoma APPLICATION TIMELINE: 2022-04-12 2022-04-25 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu...
  10. SULEIMAN ABEID

    Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
  11. Maria Nyedetse

    Kuwe na namna nzuri ya kuwapata, kuwapima na kuwasimamia Wakurugenzi wa Halmashauri

    Wanajamvi habari za usiku, Nilikuwa naangalia taarifa ya habari nyumbani kwangu na rafiki ambaye amenitembelea, nikaona taarifa ya walimu kuandamana kutoka jijini Mwanza wakimlalamikia mkurugenzi juu wa malipo yao ya kazi ya kukusanya taarifa za anwani za makazi. Nikashangaa inawezekanaje...
  12. MR. IBU

    Kuna harufu ya upigwaji Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo malipo ya Anwani za Makazi

    I
  13. M

    TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  14. famicho

    Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

    Habari za masiku wanajukwaa. Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+ Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
  15. peno hasegawa

    Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  16. Erythrocyte

    TRA na Halmashauri tambueni kwamba Ujenzi wa miundombinu unaochukua muda mrefu unaathiri Wafanyabiashara, mnadaije kodi maeneo hayo?

    Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo. Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana na kinachopatikana kwenye biashara husika na si vinginevyo. Lazima tukubali kwamba ujenzi wa...
  17. K

    Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

    Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao. Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
  18. peno hasegawa

    Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  19. John Haramba

    Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga limewafukuza kazi watumishi sita kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 23, 2022...
  20. MshikjiFlaniHivii

    Nimepita leo Halmashauri ya Dodoma, watu ni wengi sana wenye bahasha za khaki

    Ndugu zangu, jana nilifanikiwa kufika halmashauri pale ya jiji la Dodoma kupeleka Barua yangu ya maombi ya ukusanyaji wa postcode, watu walikua wengi sana wenye bahasha za kaki. Vijana walikuwa wengi sana. Muda huu pia nimetoka pale, nikaangalia yule anaepokea zile bahasha anazipa namba, namba...
Back
Top Bottom