Mwaka jana pia waliambiwa watalipwa nusu lakini Kwa kuvutana sana wakalipwa 1,050,000 ambayo sehemu nyingine pia wamelipwa hivyo na Halmashauri zao.
Je, Serikali inaleta mapunjo ya fedha hizo za kujikimu na posho Kwa Mbulu DC pekee na si kwingine kila mwaka?
Sasa hivi tunaambiwa tupokee fedha...
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila mmoja alipata laki tisa na point.
Hatukujua nini, kuna baadhi ya wenzetu walijaribu kupiga simu...
Anonymous (b5ce)
Thread
halmashaurihalmashauriyambulu
hela
kujikimu
mbulu
mji
wake
Wananchi walichanga pesa Tsh 5,000 kwa kila kaya kwa ajili ya ujenzi wa kituo mpya cha magari ya halmashauri, lakini cha ajabu mpaka sasa wananchi hawajui zile PESA zimefanya nini na kiasi gani kilikusanywa mpaka Leo.
Ujenzi wa stand haujafanikiwa na wala hamna anayefikiria ujenzi huo.
Je, ni...
Anonymous
Thread
halmashauriyambulumbulu mjini
ubadhirifu halmashauri
ubadhirifu halmashaurimbulu