halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dar: Upelelezi kesi ya Watumishi 16 waliopiga Tsh. Bilioni 8.9 za Halmashauri ya Jiji Wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
  2. Kawaida alia kuondolewa mikopo ya halmashauri kwa vijana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Kawaida ameitaka Serikali Kuu na Mkoa wa Dar es Salaamu kutekeleza mambo manne ikiwemo kuharakisha mchakato wa kurejea upya mikopo ya asilimia 10 iliyositishwa Aprili mwaka huu. Mambo mengine ni kuhakikisha inamaliza...
  3. Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  4. Morogoro: TAKUKURU kuwachukulia hatua waliokopa Tsh. Milioni 600 za Halmashauri na kushindwa kurejesha

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri. Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
  5. Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  6. Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

    Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe. WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na...
  7. Jiji la Dar kufanya kazi kikanda

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa taarifa kwa Umma na wadau kwa ujumla kupitia vyombo vya habari kuwa,imegawanya eneo la Jiji katika kanda za kiutawala ili kurahisisha utoaji wa huduma unaolenga kutoa huduma zenye ubora na usawa kwa jamii kwa kuzingatia utawala bora na kutumia...
  8. Serikali Kujenga Masoko Matano ya Mazao Halmashauri ya Songea

    WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa Masoko ya Mazao yanayotarajiwa...
  9. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe asimamishwa kazi kupisha Uchunguzi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe (DED) mkoani Kigoma, Essau Ngoloka kupisha uchunguzi. Mkurugenzi huyo amesimamishwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu, Makamu wa Rais, Dk...
  10. G

    Halmashauri ya Ilemela yaelekeza wafanyabiashara soko la Sabasaba kutupa takataka barabarani

    Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
  11. KERO Halmashauri ya Bariadi yaanzisha Dampo la Kidinda katikati ya makazi ya Wananchi

    Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye Dampo la takataka ambalo Halmashauri imelianzisha katikati ya makazi yao. Mbali na harufu kali, Wananchi hao wanalalamikia...
  12. SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  13. Kagera: Mahakama yampa Mtendaji wa Kijiji miezi 6 kurejesha Tsh. 8,974,125 za Halmashauri

    Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria. Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za...
  14. B

    Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  15. Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  16. N

    Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  17. Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  18. Rais Samia, mbona umewafuta ma DED wenye Hati Safi baadhi ya Halmashauri huku ukiwarejesha Ma DED uliowatumbua huko nyuma kwa uozo wao?

    Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?. Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini?? Mbona wanakugombanisha na watu?. Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi. Nikajua...
  19. G

    Naomba kujua tofauti ya kazi za Afisa Mipango na Mchumi kwenye taasisi au halmashauri?

    Habari wanaJF, Naomba kujua utofauti wa kazi au majukumu ya afisa mipango(Planning officer) na mchumi kwenye maeneo mbalimbali ya halmashauri au taasisi mbalimbali za serikali. Anayefahamu naomba anijuze.
  20. Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

    Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi. Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama. Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…